Native Bible

Psalms 58:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu?

Psalms 58:1 in English

Psalms 58:1 · Berean Standard Bible

Do you indeed speak justly, O rulers? Do you judge uprightly, O sons of men?

Context

1Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? 2La, mioyoni mwenu mnatunga udhalimu, na mikono yenu hupima jeuri duniani. 3Waovu ni wapotovu tangu kuzaliwa kwao, toka tumboni mwa mama zao ni wakaidi na husema uongo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.