Zaburi 57:7
Psalms 57:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti; nitaimba na kusifu kwa moyo wangu wote.
Psalms 57:7 in English
Psalms 57:7 · Berean Standard Bible
My heart is steadfast, O God, my heart is steadfast. I will sing and make music.
Context
5Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu,
utukufu wako na uenee duniani kote. 6Waliitegea miguu yangu nyavu,
nikainamishwa chini na dhiki.
Wamechimba shimo katika njia yangu,
lakini wametumbukia humo wao wenyewe. 7Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti;
nitaimba na kusifu kwa moyo wangu wote. 8Amka, nafsi yangu!
Amka, kinubi na zeze!
Nitayaamsha mapambazuko. 9Nitakusifu wewe, Ee Bwana, katikati ya mataifa;
nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.