Native Bible

Psalms 57:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, utukufu wako na uenee duniani kote.

Psalms 57:5 in English

Psalms 57:5 · Berean Standard Bible

Be exalted, O God, above the heavens; may Your glory cover all the earth.

Context

3Hutumana kutoka mbinguni na kuniokoa, akiwakemea wale wanaonifuatilia vikali; Mungu huutuma upendo wake na uaminifu wake. 4Niko katikati ya simba, nimelala katikati ya wanyama wenye njaa kuu: watu ambao meno yao ni mikuki na mishale, ambao ndimi zao ni panga kali. 5Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, utukufu wako na uenee duniani kote. 6Waliitegea miguu yangu nyavu, nikainamishwa chini na dhiki. Wamechimba shimo katika njia yangu, lakini wametumbukia humo wao wenyewe. 7Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti; nitaimba na kusifu kwa moyo wangu wote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.