Zaburi 57:10
Psalms 57:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana upendo wako ni mkuu, waenea hadi mbinguni, uaminifu wako unazifikia anga.
Psalms 57:10 in English
Psalms 57:10 · Berean Standard Bible
For Your loving devotion reaches to the heavens, and Your faithfulness to the clouds.
Context
8Amka, nafsi yangu!
Amka, kinubi na zeze!
Nitayaamsha mapambazuko. 9Nitakusifu wewe, Ee Bwana, katikati ya mataifa;
nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu. 10Kwa maana upendo wako ni mkuu, waenea hadi mbinguni,
uaminifu wako unazifikia anga. 11Ee Mungu, utukuzwe juu mbinguni,
utukufu wako na uwe duniani pote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.