Native Bible

Psalms 57:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, utukuzwe juu mbinguni, utukufu wako na uwe duniani pote.

Psalms 57:11 in English

Psalms 57:11 · Berean Standard Bible

Be exalted, O God, above the heavens; may Your glory cover all the earth.

Context

9Nitakusifu wewe, Ee Bwana, katikati ya mataifa; nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu. 10Kwa maana upendo wako ni mkuu, waenea hadi mbinguni, uaminifu wako unazifikia anga. 11Ee Mungu, utukuzwe juu mbinguni, utukufu wako na uwe duniani pote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.