Zaburi 56:10
Psalms 56:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika Bwana, ambaye neno lake ninalisifu,
Psalms 56:10 in English
Psalms 56:10 · Berean Standard Bible
In God, whose word I praise, in the LORD, whose word I praise,
Context
8Andika maombolezo yangu,
orodhesha machozi yangu katika gombo lako:
je, haya hayapo katika kumbukumbu zako? 9Ndipo adui zangu watarudi nyuma
ninapoita msaada.
Kwa hili nitajua kwamba Mungu
yuko upande wangu. 10Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu,
katika Bwana, ambaye neno lake ninalisifu, 11katika Mungu ninatumaini, sitaogopa.
Mwanadamu anaweza kunitenda nini? 12Ee Mungu, nina nadhiri kwako,
nitakutolea wewe sadaka zangu za shukrani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.