Native Bible

Psalms 56:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, nina nadhiri kwako, nitakutolea wewe sadaka zangu za shukrani.

Psalms 56:12 in English

Psalms 56:12 · Berean Standard Bible

Your vows are upon me, O God; I will render thank offerings to You.

Context

10Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika Bwana, ambaye neno lake ninalisifu, 11katika Mungu ninatumaini, sitaogopa. Mwanadamu anaweza kunitenda nini? 12Ee Mungu, nina nadhiri kwako, nitakutolea wewe sadaka zangu za shukrani. 13Kwa kuwa umeniokoa toka kwenye mauti na miguu yangu kwenye kujikwaa, ili niweze kuenenda mbele za Mungu katika nuru ya uzima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.