Native Bible

Psalms 55:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wangu umejaa uchungu, hofu ya kifo imenishambulia.

Psalms 55:4 in English

Psalms 55:4 · Berean Standard Bible

My heart murmurs within me, and the terrors of death assail me.

Context

2Nisikie na unijibu. Mawazo yangu yananisumbua na nimehangaishwa 3kwa sauti ya adui, kwa kukaziwa macho na waovu, kwa sababu wananiletea mateso juu yangu na kunitukana kwa hasira zao. 4Moyo wangu umejaa uchungu, hofu ya kifo imenishambulia. 5Woga na kutetemeka vimenizunguka, hofu kuu imenigharikisha. 6Nilisema, “Laiti ningekuwa na mbawa za njiwa! Ningeruka niende mbali kupumzika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.