Native Bible

Psalms 55:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nisikie na unijibu. Mawazo yangu yananisumbua na nimehangaishwa

Psalms 55:2 in English

Psalms 55:2 · Berean Standard Bible

Attend to me and answer me. I am restless in my complaint, and distraught

Context

1Ee Mungu, sikiliza maombi yangu, wala usidharau hoja yangu. 2Nisikie na unijibu. Mawazo yangu yananisumbua na nimehangaishwa 3kwa sauti ya adui, kwa kukaziwa macho na waovu, kwa sababu wananiletea mateso juu yangu na kunitukana kwa hasira zao. 4Moyo wangu umejaa uchungu, hofu ya kifo imenishambulia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.