Native Bible

Psalms 55:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, sikiliza maombi yangu, wala usidharau hoja yangu.

Psalms 55:1 in English

Psalms 55:1 · Berean Standard Bible

Listen to my prayer, O God, and do not ignore my plea.

Context

1Ee Mungu, sikiliza maombi yangu, wala usidharau hoja yangu. 2Nisikie na unijibu. Mawazo yangu yananisumbua na nimehangaishwa 3kwa sauti ya adui, kwa kukaziwa macho na waovu, kwa sababu wananiletea mateso juu yangu na kunitukana kwa hasira zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.