Native Bible

Psalms 52:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wenye haki wataona na kuogopa, watamcheka, wakisema,

Psalms 52:6 in English

Psalms 52:6 · Berean Standard Bible

The righteous will see and fear; they will mock the evildoer, saying,

Context

4Unapenda kila neno lenye kudhuru, ewe ulimi wenye hila! 5Hakika Mungu atakushusha chini kwa maangamizi ya milele: atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu kutoka hema yako, atakungʼoa kutoka nchi ya walio hai. 6Wenye haki wataona na kuogopa, watamcheka, wakisema, 7“Huyu ni yule mtu ambaye hakumfanya Mungu kuwa ngome yake, bali alitumainia wingi wa utajiri wake, na akawa hodari kwa kuwaangamiza wengine!” 8Lakini mimi ni kama mti wa mzeituni unaostawi katika nyumba ya Mungu, nautegemea upendo wa Mungu usiokoma milele na milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.