Zaburi 52:4
Psalms 52:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Unapenda kila neno lenye kudhuru, ewe ulimi wenye hila!
Psalms 52:4 in English
Psalms 52:4 · Berean Standard Bible
You love every word that devours, O deceitful tongue.
Context
2Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi.
Ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila. 3Unapenda mabaya kuliko mema,
uongo kuliko kusema kweli. 4Unapenda kila neno lenye kudhuru,
ewe ulimi wenye hila! 5Hakika Mungu atakushusha chini
kwa maangamizi ya milele:
atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu
kutoka hema yako,
atakungʼoa kutoka nchi ya walio hai. 6Wenye haki wataona na kuogopa,
watamcheka, wakisema,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.