Zaburi 52:2
Psalms 52:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi. Ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila.
Psalms 52:2 in English
Psalms 52:2 · Berean Standard Bible
Your tongue devises destruction like a sharpened razor, O worker of deceit.
Context
1Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya?
Kwa nini unajivuna mchana kutwa,
wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu? 2Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi.
Ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila. 3Unapenda mabaya kuliko mema,
uongo kuliko kusema kweli. 4Unapenda kila neno lenye kudhuru,
ewe ulimi wenye hila!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.