Native Bible

Psalms 52:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya? Kwa nini unajivuna mchana kutwa, wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu?

Psalms 52:1 in English

Psalms 52:1 · Berean Standard Bible

Why do you boast of evil, O mighty man? The loving devotion of God endures all day long.

Context

1Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya? Kwa nini unajivuna mchana kutwa, wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu? 2Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi. Ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila. 3Unapenda mabaya kuliko mema, uongo kuliko kusema kweli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.