Native Bible

Psalms 52:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mimi ni kama mti wa mzeituni unaostawi katika nyumba ya Mungu, nautegemea upendo wa Mungu usiokoma milele na milele.

Psalms 52:8 in English

Psalms 52:8 · Berean Standard Bible

But I am like an olive tree flourishing in the house of God; I trust in the loving devotion of God forever and ever.

Context

6Wenye haki wataona na kuogopa, watamcheka, wakisema, 7“Huyu ni yule mtu ambaye hakumfanya Mungu kuwa ngome yake, bali alitumainia wingi wa utajiri wake, na akawa hodari kwa kuwaangamiza wengine!” 8Lakini mimi ni kama mti wa mzeituni unaostawi katika nyumba ya Mungu, nautegemea upendo wa Mungu usiokoma milele na milele. 9Nitakusifu milele kwa yale uliyoyatenda, nitatumaini jina lako, kwa kuwa jina lako ni jema. Nitakusifu mbele ya watakatifu wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.