Native Bible

Psalms 47:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa, mwimbieni sifa Mfalme wetu, imbeni sifa.

Psalms 47:6 in English

Psalms 47:6 · Berean Standard Bible

Sing praises to God, sing praises; sing praises to our King, sing praises!

Context

4Alituchagulia urithi wetu, fahari ya Yakobo, aliyempenda. 5Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti za tarumbeta. 6Mwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa, mwimbieni sifa Mfalme wetu, imbeni sifa. 7Kwa kuwa Mungu ni mfalme wa dunia yote, mwimbieni zaburi za sifa. 8Mungu anatawala juu ya mataifa, Mungu ameketi juu ya kiti chake cha enzi kitakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.