Zaburi 47:5
Psalms 47:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti za tarumbeta.
Psalms 47:5 in English
Psalms 47:5 · Berean Standard Bible
God has ascended amid shouts of joy, the LORD with the sound of the horn.
Context
3Ametiisha mataifa chini yetu
watu wengi chini ya miguu yetu. 4Alituchagulia urithi wetu,
fahari ya Yakobo, aliyempenda. 5Mungu amepaa kwa kelele za shangwe,
Bwana kwa sauti za tarumbeta. 6Mwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa,
mwimbieni sifa Mfalme wetu, imbeni sifa. 7Kwa kuwa Mungu ni mfalme wa dunia yote,
mwimbieni zaburi za sifa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.