Zaburi 44:13
Psalms 44:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Umetufanya lawama kwa jirani zetu, dharau na dhihaka kwa wale wanaotuzunguka.
Psalms 44:13 in English
Psalms 44:13 · Berean Standard Bible
You have made us a reproach to our neighbors, a mockery and derision to those around us.
Context
11Umetuacha tutafunwe kama kondoo
na umetutawanya katika mataifa. 12Umewauza watu wako kwa fedha kidogo,
wala hukupata faida yoyote kwa mauzo yao. 13Umetufanya lawama kwa jirani zetu,
dharau na dhihaka kwa wale wanaotuzunguka. 14Umetufanya kuwa mithali miongoni mwa mataifa,
mataifa hutikisa vichwa vyao. 15Fedheha yangu iko mbele yangu mchana kutwa,
na uso wangu umejaa aibu tele,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.