Native Bible

Psalms 44:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umewauza watu wako kwa fedha kidogo, wala hukupata faida yoyote kwa mauzo yao.

Psalms 44:12 in English

Psalms 44:12 · Berean Standard Bible

You sell Your people for nothing; no profit do You gain from their sale.

Context

10Umetufanya turudi nyuma mbele ya adui, nao watesi wetu wametuteka nyara. 11Umetuacha tutafunwe kama kondoo na umetutawanya katika mataifa. 12Umewauza watu wako kwa fedha kidogo, wala hukupata faida yoyote kwa mauzo yao. 13Umetufanya lawama kwa jirani zetu, dharau na dhihaka kwa wale wanaotuzunguka. 14Umetufanya kuwa mithali miongoni mwa mataifa, mataifa hutikisa vichwa vyao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.