Native Bible

Psalms 41:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri mtu yule anayemjali mnyonge, Bwana atamwokoa wakati wa shida.

Psalms 41:1 in English

Psalms 41:1 · Berean Standard Bible

Blessed is the one who cares for the poor; the LORD will deliver him in the day of trouble.

Context

1Heri mtu yule anayemjali mnyonge, Bwana atamwokoa wakati wa shida. 2Bwana atamlinda na kuyahifadhi maisha yake, atambariki katika nchi na hatamwacha katika tamaa ya adui zake. 3Bwana atamtegemeza awapo mgonjwa kitandani, atamwinua kutoka kitandani mwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.