Zaburi 41:2
Psalms 41:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana atamlinda na kuyahifadhi maisha yake, atambariki katika nchi na hatamwacha katika tamaa ya adui zake.
Psalms 41:2 in English
Psalms 41:2 · Berean Standard Bible
The LORD will protect and preserve him; He will bless him in the land and refuse to surrender him to the will of his foes.
Context
1Heri mtu yule anayemjali mnyonge,
Bwana atamwokoa wakati wa shida. 2Bwana atamlinda na kuyahifadhi maisha yake,
atambariki katika nchi
na hatamwacha katika tamaa ya adui zake. 3Bwana atamtegemeza awapo mgonjwa kitandani,
atamwinua kutoka kitandani mwake. 4Nilisema, “Ee Bwana nihurumie,
niponye, maana nimekutenda dhambi wewe.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.