Native Bible

Psalms 39:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tazama mbali nami, ili niweze kufurahi tena kabla sijaondoka na nisiwepo tena.”

Psalms 39:13 in English

Psalms 39:13 · Berean Standard Bible

Turn Your gaze away from me, that I may again be cheered before I depart and am no more.”

Context

11Unakemea na kuadhibu wanadamu kwa ajili ya dhambi zao; unaharibu utajiri wao kama nondo aharibuvyo: kila mwanadamu ni kama pumzi tu. 12“Ee Bwana, usikie maombi yangu, usikie kilio changu unisaidie, usiwe kiziwi kwa kulia kwangu. Kwani mimi ninaishi na wewe kama mgeni, kama walivyokuwa baba zangu wote, 13Tazama mbali nami, ili niweze kufurahi tena kabla sijaondoka na nisiwepo tena.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.