Native Bible

Psalms 32:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shangilieni katika Bwana na mfurahi, enyi wenye haki! Imbeni, nyote mlio wanyofu wa moyo!

Psalms 32:11 in English

Psalms 32:11 · Berean Standard Bible

Be glad in the LORD and rejoice, O righteous ones; shout for joy, all you upright in heart.

Context

9Usiwe kama farasi au nyumbu wasio na akili, ambao ni lazima waongozwe kwa lijamu na hatamu la sivyo hawatakukaribia. 10Mtu mwovu ana taabu nyingi, bali upendo usio na kikomo wa Bwana unamzunguka mtu anayemtumaini. 11Shangilieni katika Bwana na mfurahi, enyi wenye haki! Imbeni, nyote mlio wanyofu wa moyo!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.