Zaburi 28:8
Psalms 28:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana ni nguvu ya watu wake, ngome ya wokovu kwa mpakwa mafuta wake.
Psalms 28:8 in English
Psalms 28:8 · Berean Standard Bible
The LORD is the strength of His people, a stronghold of salvation for His anointed.
Context
6Bwana asifiwe,
kwa maana amesikia kilio changu
nikimwomba anihurumie. 7Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu,
moyo wangu umemtumaini yeye,
nami nimesaidiwa.
Moyo wangu unarukaruka kwa furaha
nami nitamshukuru kwa wimbo. 8Bwana ni nguvu ya watu wake,
ngome ya wokovu kwa mpakwa mafuta wake. 9Waokoe watu wako na uubariki urithi wako;
uwe mchungaji wao na uwabebe milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.