Native Bible

Psalms 28:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu, moyo wangu umemtumaini yeye, nami nimesaidiwa. Moyo wangu unarukaruka kwa furaha nami nitamshukuru kwa wimbo.

Psalms 28:7 in English

Psalms 28:7 · Berean Standard Bible

The LORD is my strength and my shield; my heart trusts in Him, and I am helped. Therefore my heart rejoices, and I give thanks to Him with my song.

Context

5Kwa kuwa hawaheshimu kazi za Bwana, na yale ambayo mikono yake imetenda, atawabomoa na kamwe hatawajenga tena. 6Bwana asifiwe, kwa maana amesikia kilio changu nikimwomba anihurumie. 7Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu, moyo wangu umemtumaini yeye, nami nimesaidiwa. Moyo wangu unarukaruka kwa furaha nami nitamshukuru kwa wimbo. 8Bwana ni nguvu ya watu wake, ngome ya wokovu kwa mpakwa mafuta wake. 9Waokoe watu wako na uubariki urithi wako; uwe mchungaji wao na uwabebe milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.