Native Bible

Psalms 27:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, nimwogope nani? Bwana ni ngome ya uzima wangu, nimhofu nani?

Psalms 27:1 in English

Psalms 27:1 · Berean Standard Bible

The LORD is my light and my salvation— whom shall I fear? The LORD is the stronghold of my life— whom shall I dread?

Context

1Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, nimwogope nani? Bwana ni ngome ya uzima wangu, nimhofu nani? 2Waovu watakaposogea dhidi yangu ili wanile nyama yangu, adui zangu na watesi wangu watakaponishambulia, watajikwaa na kuanguka. 3Hata jeshi linizunguke pande zote, moyo wangu hautaogopa; hata vita vitokee dhidi yangu, hata hapo nitakuwa na ujasiri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.