Zaburi 23:2
Psalms 23:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hunilaza katika malisho ya majani mabichi, kando ya maji matulivu huniongoza,
Psalms 23:2 in English
Psalms 23:2 · Berean Standard Bible
He makes me lie down in green pastures; He leads me beside quiet waters.
Context
1Bwana ndiye mchungaji wangu,
sitapungukiwa na kitu. 2Hunilaza katika malisho
ya majani mabichi,
kando ya maji matulivu huniongoza, 3hunihuisha nafsi yangu.
Huniongoza katika njia za haki
kwa ajili ya jina lake. 4Hata kama nikipita katikati
ya bonde la uvuli wa mauti,
sitaogopa mabaya,
kwa maana wewe upo pamoja nami;
fimbo yako na mkongojo wako
vyanifariji.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.