Native Bible

Psalms 23:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.

Psalms 23:1 in English

Psalms 23:1 · Berean Standard Bible

The LORD is my shepherd;* I shall not want.

Context

1Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu. 2Hunilaza katika malisho ya majani mabichi, kando ya maji matulivu huniongoza, 3hunihuisha nafsi yangu. Huniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.