Native Bible

Psalms 23:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata kama nikipita katikati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya, kwa maana wewe upo pamoja nami; fimbo yako na mkongojo wako vyanifariji.

Psalms 23:4 in English

Psalms 23:4 · Berean Standard Bible

Even though I walk through the valley of the shadow of death,* I will fear no evil, for You are with me; Your rod and Your staff, they comfort me.

Context

2Hunilaza katika malisho ya majani mabichi, kando ya maji matulivu huniongoza, 3hunihuisha nafsi yangu. Huniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. 4Hata kama nikipita katikati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya, kwa maana wewe upo pamoja nami; fimbo yako na mkongojo wako vyanifariji. 5Waandaa meza mbele yangu machoni pa adui zangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, kikombe changu kinafurika. 6Hakika wema na upendo vitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.