Native Bible

Psalms 22:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naweza kuhesabu mifupa yangu yote, watu wananikodolea macho na kunisimanga.

Psalms 22:17 in English

Psalms 22:17 · Berean Standard Bible

I can count all my bones; they stare and gloat over me.

Context

15Nguvu zangu zimekauka kama kigae, ulimi wangu umegandamana na kaakaa la kinywa changu, kwa sababu umenilaza katika mavumbi ya kifo. 16Mbwa wamenizunguka, kundi la watu waovu limenizingira, wametoboa mikono yangu na miguu yangu. 17Naweza kuhesabu mifupa yangu yote, watu wananikodolea macho na kunisimanga. 18Wanagawana nguo zangu wao kwa wao, na vazi langu wanalipigia kura. 19Lakini wewe, Ee Bwana, usiwe mbali. Ee Nguvu yangu, uje haraka unisaidie.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.