Zaburi 21:12
Psalms 21:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa kuwa utawafanya wakimbie utakapowalenga usoni pao kwa mshale kutoka kwenye upinde wako.
Psalms 21:12 in English
Psalms 21:12 · Berean Standard Bible
For You will put them to flight when Your bow is trained upon them.
Context
10Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani,
uzao wao kutoka wanadamu. 11Ingawa watapanga mabaya dhidi yako
na kutunga hila, hawawezi kufanikiwa, 12kwa kuwa utawafanya wakimbie
utakapowalenga usoni pao
kwa mshale kutoka kwenye upinde wako. 13Ee Bwana, utukuzwe katika nguvu zako,
tutaimba na kusifu nguvu zako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.