Native Bible

Psalms 21:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, utukuzwe katika nguvu zako, tutaimba na kusifu nguvu zako.

Psalms 21:13 in English

Psalms 21:13 · Berean Standard Bible

Be exalted, O LORD, in Your strength; we will sing and praise Your power.

Context

11Ingawa watapanga mabaya dhidi yako na kutunga hila, hawawezi kufanikiwa, 12kwa kuwa utawafanya wakimbie utakapowalenga usoni pao kwa mshale kutoka kwenye upinde wako. 13Ee Bwana, utukuzwe katika nguvu zako, tutaimba na kusifu nguvu zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.