Zaburi 18:14
Psalms 18:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliipiga mishale yake na kutawanya adui, naam, umeme mwingi wa radi na kuwafukuza.
Psalms 18:14 in English
Psalms 18:14 · Berean Standard Bible
He shot His arrows and scattered the foes; He hurled lightning and routed them.
Context
12Kutokana na mwanga wa uwepo wake
mawingu yalisogea,
ikanyesha mvua ya mawe
na umeme wa radi. 13Bwana alinguruma kutoka mbinguni,
sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika. 14Aliipiga mishale yake na kutawanya adui,
naam, umeme mwingi wa radi na kuwafukuza. 15Mabonde ya bahari yalifunuliwa,
na misingi ya dunia ikawa wazi
kwa kukaripia kwako, Ee Bwana,
kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwako. 16Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika;
alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.