Native Bible

Psalms 17:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, ninakuita, kwa kuwa utanijibu, nitegee sikio lako na usikie ombi langu.

Psalms 17:6 in English

Psalms 17:6 · Berean Standard Bible

I call on You, O God, for You will answer me. Incline Your ear to me; hear my words.

Context

4Kuhusu matendo ya wanadamu: kwa neno la midomo yako, nimejiepusha na njia za wenye jeuri. 5Hatua zangu zimeshikamana na njia zako; nyayo zangu hazikuteleza. 6Ee Mungu, ninakuita, kwa kuwa utanijibu, nitegee sikio lako na usikie ombi langu. 7Uonyeshe ajabu ya upendo wako mkuu, wewe uokoaye kwa mkono wako wa kuume wale wanaokukimbilia kutokana na adui zao. 8Nilinde kama mboni ya jicho lako, unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.