Zaburi 17:4
Psalms 17:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kuhusu matendo ya wanadamu: kwa neno la midomo yako, nimejiepusha na njia za wenye jeuri.
Psalms 17:4 in English
Psalms 17:4 · Berean Standard Bible
As for the deeds of men— by the word of Your lips I have avoided the ways of the violent.
Context
2Hukumu yangu na itoke kwako,
macho yako na yaone yale yaliyo haki. 3Ingawa unauchunguza moyo wangu na kunikagua usiku,
ingawa umenijaribu, hutaona chochote.
Nimeamua kwamba kinywa changu
hakitatenda dhambi. 4Kuhusu matendo ya wanadamu:
kwa neno la midomo yako,
nimejiepusha
na njia za wenye jeuri. 5Hatua zangu zimeshikamana na njia zako;
nyayo zangu hazikuteleza. 6Ee Mungu, ninakuita, kwa kuwa utanijibu,
nitegee sikio lako na usikie ombi langu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.