Native Bible

Psalms 146:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana huwafumbua vipofu macho, Bwana huwainua waliolemewa na mizigo yao, Bwana huwapenda wenye haki.

Psalms 146:8 in English

Psalms 146:8 · Berean Standard Bible

the LORD opens the eyes of the blind, the LORD lifts those who are weighed down, the LORD loves the righteous.

Context

6Muumba wa mbingu na nchi, na bahari na vyote vilivyomo ndani yake: Bwana anayedumu kuwa mwaminifu milele na milele. 7Naye huwapatia haki walioonewa na kuwapa wenye njaa chakula. Bwana huwaweka wafungwa huru, 8Bwana huwafumbua vipofu macho, Bwana huwainua waliolemewa na mizigo yao, Bwana huwapenda wenye haki. 9Bwana huwalinda wageni na kuwategemeza yatima na wajane, lakini hupinga njia za waovu. 10Bwana atamiliki milele, Mungu wako, ee Sayuni, kwa vizazi vyote. Msifuni Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.