Native Bible

Psalms 146:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana atamiliki milele, Mungu wako, ee Sayuni, kwa vizazi vyote. Msifuni Bwana.

Psalms 146:10 in English

Psalms 146:10 · Berean Standard Bible

The LORD reigns forever, your God, O Zion, for all generations. Hallelujah!

Context

8Bwana huwafumbua vipofu macho, Bwana huwainua waliolemewa na mizigo yao, Bwana huwapenda wenye haki. 9Bwana huwalinda wageni na kuwategemeza yatima na wajane, lakini hupinga njia za waovu. 10Bwana atamiliki milele, Mungu wako, ee Sayuni, kwa vizazi vyote. Msifuni Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.