Native Bible

Psalms 144:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mpya, kwa zeze yenye nyuzi kumi nitakuimbia,

Psalms 144:9 in English

Psalms 144:9 · Berean Standard Bible

I will sing to You a new song, O God; on a harp of ten strings I will make music to You—

Context

7Nyoosha mkono wako kutoka juu, nikomboe na kuniokoa kutoka maji makuu, kutoka mikononi mwa wageni 8ambao vinywa vyao vimejaa uongo, na mikono yao ya kuume ni midanganyifu. 9Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mpya, kwa zeze yenye nyuzi kumi nitakuimbia, 10kwa Yule awapaye wafalme ushindi, ambaye humwokoa Daudi, mtumishi wake kutokana na upanga hatari. 11Nikomboe na uniokoe kutoka mikononi mwa wageni ambao vinywa vyao vimejaa uongo, na mikono yao ya kuume ni midanganyifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.