Native Bible

Psalms 144:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ambao vinywa vyao vimejaa uongo, na mikono yao ya kuume ni midanganyifu.

Psalms 144:8 in English

Psalms 144:8 · Berean Standard Bible

whose mouths speak falsehood, whose right hands are deceitful.

Context

6Peleka umeme uwatawanye adui, lenga mishale yako uwashinde. 7Nyoosha mkono wako kutoka juu, nikomboe na kuniokoa kutoka maji makuu, kutoka mikononi mwa wageni 8ambao vinywa vyao vimejaa uongo, na mikono yao ya kuume ni midanganyifu. 9Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mpya, kwa zeze yenye nyuzi kumi nitakuimbia, 10kwa Yule awapaye wafalme ushindi, ambaye humwokoa Daudi, mtumishi wake kutokana na upanga hatari.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.