Native Bible

Psalms 140:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wao hufanya ndimi zao kali kama za nyoka, sumu ya nyoka iko midomoni mwao.

Psalms 140:3 in English

Psalms 140:3 · Berean Standard Bible

They sharpen their tongues like snakes; the venom of vipers is on their lips.* Selah

Context

1Ee Bwana, niokoe, kutoka kwa watu waovu; nilinde na watu wenye jeuri, 2ambao hupanga mipango mibaya mioyoni mwao, na kuchochea vita siku zote. 3Wao hufanya ndimi zao kali kama za nyoka, sumu ya nyoka iko midomoni mwao. 4Ee Bwana, niepushe na mikono ya waovu; nilinde na watu wenye jeuri wanaopanga kunikwaza miguu yangu. 5Wenye kiburi wameficha mtego wa kuninasa, wametandaza kamba za wavu wao, wametega mitego kwenye njia yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.