Zaburi 140:2
Psalms 140:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ambao hupanga mipango mibaya mioyoni mwao, na kuchochea vita siku zote.
Psalms 140:2 in English
Psalms 140:2 · Berean Standard Bible
who devise evil in their hearts and stir up war all day long.
Context
1Ee Bwana, niokoe, kutoka kwa watu waovu;
nilinde na watu wenye jeuri, 2ambao hupanga mipango mibaya mioyoni mwao,
na kuchochea vita siku zote. 3Wao hufanya ndimi zao kali kama za nyoka,
sumu ya nyoka iko midomoni mwao. 4Ee Bwana, niepushe na mikono ya waovu;
nilinde na watu wenye jeuri
wanaopanga kunikwaza miguu yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.