Native Bible

Psalms 138:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wao na waimbe kuhusu njia za Bwana, kwa maana utukufu wa Bwana ni mkuu.

Psalms 138:5 in English

Psalms 138:5 · Berean Standard Bible

They will sing of the ways of the LORD, for the glory of the LORD is great.

Context

3Nilipoita, ulinijibu; ulinifanya jasiri na mwenye moyo hodari. 4Wafalme wote wa dunia wakusifu wewe Ee Bwana, wakati wanaposikia maneno ya kinywa chako. 5Wao na waimbe kuhusu njia za Bwana, kwa maana utukufu wa Bwana ni mkuu. 6Ingawa Bwana yuko juu, humwangalia mnyonge, bali mwenye kiburi yeye anamjua kutokea mbali. 7Nijapopita katikati ya shida, wewe unayahifadhi maisha yangu, unanyoosha mkono wako dhidi ya hasira ya adui zangu, kwa mkono wako wa kuume unaniokoa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.