Zaburi 138:1
Psalms 138:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitakusifu wewe, Ee Bwana, kwa moyo wangu wote, mbele ya “miungu” nitaimba sifa zako.
Psalms 138:1 in English
Psalms 138:1 · Berean Standard Bible
I give You thanks with all my heart; before the gods I sing Your praises.
Context
1Nitakusifu wewe, Ee Bwana, kwa moyo wangu wote,
mbele ya “miungu” nitaimba sifa zako. 2Nitasujudu nikielekea Hekalu lako takatifu,
nami nitalisifu jina lako
kwa ajili ya upendo wako
na uaminifu,
kwa kuwa umelikuza jina lako na neno lako
juu ya vitu vyote. 3Nilipoita, ulinijibu;
ulinifanya jasiri na mwenye moyo hodari.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.