Native Bible

Psalms 137:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa, heri yeye atakayekulipiza wewe kwa yale uliyotutenda sisi:

Psalms 137:8 in English

Psalms 137:8 · Berean Standard Bible

O Daughter of Babylon, doomed to destruction, blessed is he who repays you as you have done to us.

Context

6Ulimi wangu ushikamane na kaakaa la kinywa changu kama sitakukumbuka wewe, kama nisipokufikiri Yerusalemu kuwa furaha yangu kubwa. 7Kumbuka, Ee Bwana, walichokifanya Waedomu, siku ile Yerusalemu ilipoanguka. Walisema, “Bomoa, Bomoa mpaka kwenye misingi yake!” 8Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa, heri yeye atakayekulipiza wewe kwa yale uliyotutenda sisi: 9yeye ambaye atawakamata watoto wako wachanga na kuwaponda juu ya miamba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.