Native Bible

Psalms 137:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

yeye ambaye atawakamata watoto wako wachanga na kuwaponda juu ya miamba.

Psalms 137:9 in English

Psalms 137:9 · Berean Standard Bible

Blessed is he who seizes your infants and dashes them against the rocks.

Context

7Kumbuka, Ee Bwana, walichokifanya Waedomu, siku ile Yerusalemu ilipoanguka. Walisema, “Bomoa, Bomoa mpaka kwenye misingi yake!” 8Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa, heri yeye atakayekulipiza wewe kwa yale uliyotutenda sisi: 9yeye ambaye atawakamata watoto wako wachanga na kuwaponda juu ya miamba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.