Zaburi 137:4
Psalms 137:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tutaimbaje nyimbo za Bwana, tukiwa nchi ya kigeni?
Psalms 137:4 in English
Psalms 137:4 · Berean Standard Bible
How can we sing a song of the LORD in a foreign land?
Context
2Kwenye miti ya huko
tulitundika vinubi vyetu, 3kwa maana huko hao waliotuteka
walitaka tuwaimbie nyimbo,
watesi wetu walidai nyimbo za furaha;
walisema, “Tuimbieni wimbo mmoja kati ya nyimbo za Sayuni!” 4Tutaimbaje nyimbo za Bwana,
tukiwa nchi ya kigeni? 5Nikikusahau wewe, ee Yerusalemu,
basi mkono wangu wa kuume na usahau ujuzi wake. 6Ulimi wangu ushikamane na kaakaa la kinywa changu
kama sitakukumbuka wewe,
kama nisipokufikiri Yerusalemu
kuwa furaha yangu kubwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.