Zaburi 137:2
Psalms 137:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwenye miti ya huko tulitundika vinubi vyetu,
Psalms 137:2 in English
Psalms 137:2 · Berean Standard Bible
There on the willows * we hung our harps,
Context
1Kando ya mito ya Babeli tuliketi, tukaomboleza
tulipokumbuka Sayuni. 2Kwenye miti ya huko
tulitundika vinubi vyetu, 3kwa maana huko hao waliotuteka
walitaka tuwaimbie nyimbo,
watesi wetu walidai nyimbo za furaha;
walisema, “Tuimbieni wimbo mmoja kati ya nyimbo za Sayuni!” 4Tutaimbaje nyimbo za Bwana,
tukiwa nchi ya kigeni?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.