Native Bible

Psalms 134:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu Bwana.

Psalms 134:2 in English

Psalms 134:2 · Berean Standard Bible

Lift up your hands to the sanctuary and bless the LORD!

Context

1Msifuni Bwana, ninyi nyote watumishi wa Bwana, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Bwana. 2Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu Bwana. 3Naye Bwana, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.