Native Bible

Psalms 13:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; moyo wangu unashangilia katika wokovu wako.

Psalms 13:5 in English

Psalms 13:5 · Berean Standard Bible

But I have trusted in Your loving devotion; my heart will rejoice in Your salvation.

Context

3Nitazame, unijibu, Ee Bwana Mungu wangu. Yatie nuru macho yangu, ama sivyo nitalala usingizi wa mauti. 4Adui yangu atasema, “Nimemshinda,” nao adui zangu watashangilia nitakapoanguka. 5Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; moyo wangu unashangilia katika wokovu wako. 6Nitamwimbia Bwana, kwa kuwa amekuwa mwema kwangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.