Native Bible

Psalms 124:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakati hasira yao ilipowaka dhidi yetu, wangalitumeza tungali hai,

Psalms 124:3 in English

Psalms 124:3 · Berean Standard Bible

when their anger flared against us, then they would have swallowed us alive,

Context

1Kama Bwana asingalikuwa upande wetu; Israeli na aseme sasa: 2kama Bwana asingalikuwa upande wetu, wakati watu walipotushambulia, 3wakati hasira yao ilipowaka dhidi yetu, wangalitumeza tungali hai, 4mafuriko yangalitugharikisha, maji mengi yangalitufunika, 5maji yaendayo kasi yangalituchukua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.